
Mahmoud Al-Hussary ni msomaji maarufu wa Qur’ani. Alizaliwa katika kijiji kiitwacho Shubra Al-Namlah huko Tanta, Misri.Mahmoud aliingia Shule ya Qur’ani akiwa na umri wa miaka minne. Akiwa na miaka minane tayari alikuwa amekariri Qur’ani yote, na akiwa na miaka kumi na miwili alijifunza qira’a kumi za Qura’ni kutoka Al-Azhar mnamo 1958.Mahmoud Khalil Al-Hussary alisoma Qur’ani kwa mara ya kwanza k
...Zaidi